Usaidizi

This app ends on September 30th. Switch to BookSmart to keep reading!

Karibu katika wavuti wa Worldreader

Sasa una maktaba ya kidijitali yenye vitabu vya waandishi wa nchi yako na wa ulaya! Unaweza chagua kitabu kutoka kwa aina 70 sa vitabu, kwa lugha 44 za dunia. Tunajitahidi kukupa vitabu vipya, vyenye dhanama na vinavyopendeza. Ndiyo maana tunaongeza mamia ya vitabu kila mwezi.

Ili uweze kusoma kwa programu ya worldreader, Pata baadhi ya mafunzo hapa:

Ili kuanza kusoma sasa! chagua moja ya Vitabu vilivyopendekezwa Kwenye ukurasa mkuu , ama peruzi Vitabu vyote Ili kuchunguza vitabu vya aina mbali mbali. Kwanzia vya mapenzi kwenda Sayansi hata ndoto, Worldreader inavyo vyote! Ona vitabu vyote vilivyopendekezwa hapa.

Ongeza vitabu unavyovipenda kwenye orodha ya vitabu vyako. Ili kivipata kwa urahisi, kila kitabu unachosoma kitahifadhiwa kwa maktaba yako, mkusanyiko wa vitabu vyako kwa programu ya Worldreader. Unapoperuzi orodha ya vitabu, unaweza ongeza kitabu katika orodha yako Maktaba yako kwa kubofya scheme ya kijivu ilio kulia kwa jina la kitabu. Iwapo umekamilisha kusoma kitabu na kimekupendeza wazeza kukiongeza katika Vitabu unavyovipenda pia, kwa kutembelea chaaguzi ya menyu kisha bofya Ongeza katika vitabu ninavyovipenda.

Sambazia marafiki. Je, kitabu kimekupendeza? Wafahamishe wengine. Sambaza kitabu kwa rafiki zako kupitia barua pepe, Twitter, ama Facebook. Unaweza fanya hivyo kwa kutumia Menyu unaposoma, au mwisho wa kitabu.

Endelea kusoma ulipokoma. Hauhitaji kuongeza kiashiria mada! Vitaongezwa kiotomatiki ili uweze kuendelea kusoma kutoka ulipokomea..

Soma pasi mtandao. Ni njia njema ya kusoma iwapo utapata matatizo na wavuti. Iwapo kitabu chaweza shushwa, Unaweza pata maelezo katika maelezo ya kitabu. Fahamu kuwa sio vitabu vyote vyaweza somwa pasi mtandao.

Gundua yaliyomo katika lugha 44. Worldreader inatoa lugha tofauti, kuanzia lugha asili ya mama, Kifaransa na lugha zingine maarufu. Ili kuchagua lugha unayotaka, nenda kwenye chaguzi za mipangilio.

Rekebisha herufi kulingana na mahitaji yako. Je! herufi zako ni ndogo sana ama kubwa zaidi? Nenda kwa chaguzi ya mipangilio na kisha chagua fonti inayokufaa.

Una uhuru wa kupitia na kukosoa terms of use and privacy policy.

Furahia kusoma na Worldreader!

Rudi nyuma
US