Ndoto ya Graca

4,243
Vitabu vya Picha vya Wasomaji Wastani

Maelezo

Graca alizaliwa kwa familia maskini lakini kuzaliwa kwake kulileta furaha nyingi. Graca alipenda kusoma na familia ikamsaidia akasoma alivyoweza. Mwishowe akaolewa na Samora, aliyefanywa rais baada ya nchi yao Msumbiji kujikomboa kutoka kwa minyororo ya wakoloni.